Johnstone Muthama. "Watu wa South Nyanza, mlikuwa na Thomas Mboya na akalishwa risasi, mlikuwa na Oyugi akadungwa sindano mbaya, leo Kajwang amelala hapa anaelekea kaburini na hatujui ni nini imemmaliza. Tunafanya uchunguzi tujue nini imemuua ndio tupambane na hii serikali_ # UhuruKenyattakazi yake ni kuzururazurura na kazi imemshida. Tuko na uwenzo wa kumfuta kazi. Inchi ya Kenya iko na makabila arobaine na mawili lakini serikali imekuwa ya kikuyu tupu. Mkuu wa Majeshi Kiambu, mkuu wa sheria Kiambu hiyo haiwezekani. Tutaongoza watu kutoka Mandera, mpaka Machakos, hadi Mombasa tufunge barabara gari zisitembee hawa watu wajue tuna nguvu"
Kenya news,political opinions and many more..... Just found a great casino and already made big withdrawals! Join now and win!
Comments